Uchaguzi wa Tanzania 2020: Baada ya kuingia ACT Wazalendo, Membe autaka upinzani uungane

Maelezo ya video, Bernard Membe: Milango ya Ikulu iko wazi sasa kuliko wakati wote
Iliyochapishwa

Baada ya wiki hii kutangaza kujiunga na Chama cha ACT Wazalendo, Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Tanzania Bernard Membe amevitaka vyama vya upinzani nchini humo kuungana ili kupata ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba .