Kumbukumbu ya miaka 10 baada ya shambulio la kigaidi Uganda

Iliyochapishwa

Tarehe 11 mwezi wa Julai wakati mamia ya mashabiki wa soka nchini Uganda walikuwa wamefurika kwenye uwanja wa raga wa Kyadondo mjini Kampala kutazama mechi ya fainali ya kombe la dunia iliyochezwa uwanja wa Soccer City mjini Johnnesburg, kati ya Uhispania dhidi ya Uholanzi.

Kulisikika mlupiko mkubwa, idadi ya watu waliokuwa wamekusanyika wasijue nini kimewakodolea macho.

Kundi la wanamgambo la Al-Shabaab lilikuwa limetekelza shambulizi ambapo watu zaidi ya 70 walikufa huku wengine wengi wakijeruhiwa.

Miaka 10 baadae, BBC imezungumza na baadhi ya waliojeruhiwa kwenye mkasa huo. Sikiliza.