Milipuko Iran: Je ni nani wa kulaumiwa na kwa nini?

Maelezo ya video, Milipuko ya Iran: Nani yuko nyuma ya ‘mashambulio’ hayo katika maeneo muhimu?
Iliyochapishwa

Katika kipindi cha miezi kadhaa iliyopita Iran imekuwa ikishuhudia msururu wa ''mashambulio'' ya moto unaotekeketeza maeneo ya kimkakati na ya kiuchumi kote nchini humo. Je ni nani wa kulaumiwa na kwa nini?

Mkasa wa moto katika kituo cha nyuklia cha Natanz, ndilo tukio la hivi punde.