Vladimir Putin: Fahamu kwa nini kiongozi huyu wa Urusi anapendwa na kuchukiwa

Iliyochapishwa

Rais Vladimir Putin anatarajiwa kuwa kiongozi aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi duniani katika historia ya Urusi. Fahamu kwa nini anapendwa na kuchukiwa na wengi.