Virusi vya Corona: Je shule za Tanzania zimeweka mikakati gani baada ya kufunguliwa?

Maelezo ya video, Jinsi corona inavyodhibitiwa baada ya shule kufunguliwa Tanzania
Iliyochapishwa

Wanafunzi nchini Tanzania wameanza masomo baada ya kusitishwa kwa muda wa zaidi ya miezi mitatu kufuatia janga la Covid-19. Lakini je Shule zimejipanga vipi kudhibiti maambukizi?. BBC imetembelea shule moja ya awali iliyopo jijini Dar es salaam.