Mimea na si watu waliojaza viti kwenye ukumbi wa burudani

Iliyochapishwa

Mimea yaburudishwa kwenye tamasha la muziki wa Opera. Mimea 2000 ya iliyokuwa kwenye mitungi ilijazwa kwenye ukumbi huo na kupata burudani baada ya ukumbi huo kufunguliwa baada ya kuwa umefungwa kutokana na janga la virusi vya corona