Watoto wanajifunza vipi kuhusu masuala ya ngono?

Maelezo ya video, Tangazo la ponografia 'linalowalinda' watoto New Zealand
Iliyochapishwa

Tangazo la umma nchini New Zealand linaonya kuwa watoto wamekuwa wakijifunza masuala ya ngono kupitia ponografia, hali ambayo sio nzuri. Tangazo hilo ambalo limekuwa maarufu, linajumuisha ''waigizaji filamu wa ngono'' wawili ambao walijitokeza nyumbani kwa mvulana mmoja aliyekuwa akiwatazama.