Mifuko ya plastiki inavyotengeza matofali na vigae

Maelezo ya video, Mifuko ya plastiki inavyotengeza vitofali na vigae
Iliyochapishwa

Wasichana wawili (Nancy Tarimo na Grace Meena )nchini Tanzania ambao kitaaluma ni walimu wamepiga kisogo taaluma hiyo na kugeukia ujasiriamali Ambapo kwa sasa wanatengeneza matofali na vigae kwa kumia mifuko ya plastiki na mchanga lengo ikiwa ni kuweka mazingira safi lakini pia kutengeneza kipato ijapokuwa bado uzalishaji wao ni wakusuasua kutokana na kutumia vifaa duni.