Baa la Nzige lawa chanzo cha kipato baada ya kufanya uharibifu wa mazao Pakistan

Maelezo ya video, Nzige wawa chanzo cha kipato baada ya kufanya uharibifu wa mazao
Iliyochapishwa

Baada ya Baa la nzige kukumba Pakistan na kusababisha hasara kwa wakulima, Serikali ya nchi hiyo imebadili adha hiyo kuwa ahueni baada ya kuhamasisha ununuaji nzige kutoka kwa wakulima ili kuwa chakula cha kuku.