Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Virusi vya corona: Jinsi wakimbizi walivyoathirika na janga la corona Afrika
Iliyochapishwa
Janga la corona limeathiri kwa kiasi kikubwa maisha ya watu. Hata hivyo kwa wakimbizi hususan wale walioko barani Afrika changamoto ni nyingi, kulingana shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahusumia wakimbizi UNHCR