Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Asteria Mabirika, mama aliyeishi na aibu ya Fistula kwa miaka 20
Iliyochapishwa
Asteria Mabirika ni mama aliyeishi na aibu ya Fistula kwa zaidi ya miaka 20.
Alitegemea waganga wa kienyeji watamtibu lakini walimtumia vibaya kwa kumuoa na baadae kumtaliki kwasababu ya kutoa harufu. Amekabiliwa na kutengwa na upweke kwasababu ya hali yake. Lakini hatimae alipata msaada kutoka Amref Africa waliomtibu na wanawake wengine kutoka kijiji chake .