Fahamu kwa nini vijana wanaogopa kuwa watu wazima

Iliyochapishwa

Tunaambiwa kwamba tukiwa katika miaka ya 20 huo ndio wakati wa kujitambua, kufurahia maisha na kufanya kila unachotaka kwasababu una uhuru wote kabla ya kuamua kuanza kuishi maisha ya utu uzima.

Lakini je vijana wa siku hizi wanachukuliaje maisha ya kuanza kuwa mtu mzima?

Vijana kutoka nchi za Cairo, New York, Uingereza na Moscow wanashirikishana tajriba zao.