Virusi vya corona: Simu ilivyomsaidia daktari wakati huu wa janga la corona
Iliyochapishwa
Simu ya Dkt. Lisa imekuwa ikimfariji sio yeye tu hata wagonjwa na familia zao kipindi hiki cha mlipuko wa virusi vya corona.
Dkt. Lisa anaelezea vile simu hiyo imekuwa ya msaada kwake na kumwezesha kukabiliana na maisha katika hospitali moja wakati wa janga la virusi vya corona.