Virusi vya corona: Wakaazi wa Old Town na Eastleigh waliowekewa amri ya kutotoka nje walalamikia wanachopitia Kenya

Maelezo ya video, Virusi vya corona: Wakaazi wa Old Town na Eastleigh walalamikia wanachopitia Kenya
Iliyochapishwa

Wakaazi Jabir Shek Ismae kutoka Eastleigh na Aly Uweso Abubakr Salim kutoka mtaa wa Old town wanazungumzia uzoefu wao katika siku 29 za amri ya kutotoka nje na mabadiliko walioalazimika kufanya katika maisha yao ya kila siku.

Mtaa wa Eastleigh uliopo Nairobi na Old Town uliopo mjini Mombasa iliwekwa katika amri ya kutotoka nje saa 24 kutokana na ongezeko la wagonjwa wa Covid-19 .

Wawili hao walinakili walichopitia