George Floyd: Mtu aliyewapatia hifadhi waandamanaji 80 waliokuwa wamekwama katika kafyu Marekani
Iliyochapishwa
Ilikuwa imepita muda wa kutotoka nje mjini Washington DC na waandamanaji walikuwa wamekwama baada ya polisi kufunga pande zote za barabara.
Ni wakati huo ambapo mkaazi mmoja alifungua mlango na kuwaruhusu kuingia nyumbani kwake.