Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Virusi vya corona: Vidokezo vya namna ya kufunza watoto nyumbani na Mwalimu Peter Tabichi
Iliyochapishwa
Mwalimu Bora Duniani anatoa vidokezo vya namna ya kuwa na watoto nyumbani kipindi cha kusalia ndani Mwalimu Peter Tabichi, ambaye amekuwa akifundisha kwa miaka 12, alitambuliwa kama mwalimu bora duniani 2019. Matokeo yake, alituzwa dola milioni 1 za Marekani. Lakini kama mwengine yeyote yule nchini Kenya, pia naye anatekeleza hatua ya kusalia ndani na hapa anaonesha namna ya kushirikisha wengine vidokezo vya kufunza watoto nyumbani kipindi hiki.