Virusi vya corona: Ni kwa namna gani unaweza kuvaa barakoa yako?

Iliyochapishwa

Wakati masharti ya kukaa nyumbani yakilegezwa, watu duniani wanazingatia matumizi ya barakoa kutokana na ushauri wa serikali.

Hizi ni dondo za kukusaidia. WHO inasema barakoa zina msaada mkubwa kama zitatumika vizuri, sambamba na kuzingatia kunawa mikono na kutochangamana na watu.