Virusi vya corona: Jinsi janga la virusi vya corona linavyobadili usafiri wa ndege duniani

Maelezo ya video, Jinsi janga la virusi vya corona linavyobadili usafiri wa ndege duniani
Iliyochapishwa

Mashirika ya ndege yanachukua hatua kadhaa za kiusalama ili kuwajengea wateja hali ya kujiamini na kuondoa hofu ya kupata maambukizi ya virusi vya corona.

Ni hatua gani zinazochukuliwa na kwa namna gani zitaathiri usafiri?