Babu Njenje ni nani?

Maelezo ya sauti, Wasifu wa Mwanamuziki Babu Njenje wa Tanzania
Iliyochapishwa

Msanii maarufu wa muziki wa Band nchini Tanzania na baadhi ya maeneo ya Afrika mashariki, Mabrouk Hamis Omar, maarufu kama babu njenje amefarki dunia na kuzikwa jana jijini Dar es Salaam.Babu Njenje alipata umaarufu mkubwa katika bendi yake ya The Kilimanjaro Band, kutokana na umahiri katika kazi ya Sanaa ya muziki. Mwandishi wa BBC Halima Nyanza anasimulia wasifu wake.