Mbwa anayesaidia katika kukabiliana na virusi vya corona
Iliyochapishwa
Anavaa viatu vya rangi ya njano, miwani, na nguo za kujikinga, Harley, mbwa aliyepata mafunzo anasaidia wahudumu wa afya katika hospitali ya Mexico City. Lengo ni kuburudisha madaktari, wauguzi na wafanyakazi wa afya kwa saa mbili kila siku wanapoendelea kukabiliana na mlipuko wa virusi vya corona.