Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Amina ni Mtoto mchanga aliyenusurika baada ya kupigwa risasi mbili
Iliyochapishwa
Amina alikua ni mmoja wa manusura wenye umri mdogo zaidi katika wodi ya kujifungulia nchini Afghanstan. Mama yake alipigwa risasi na kufa.
Baba yake Amina anaelezea wakati alipompoteza mke wake na jinsi binti yake alivyotaabika kuishi.