Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Virusi vya corona: Kwa nini watoto waliozaliwa na kina mama wa kupanga wamekwama Ukraine?
Iliyochapishwa
Watoto waliozaliwa na kina mama wa kupanga wamekwama nchini Ukraine kutokana na masharti ya kutotoka nje kukabiliana na virusi vya corona.