Virusi vya corona: Je ni kwanini mpishi huyu anapika chakula akidensi?

Maelezo ya video, Mpishi anayedensi
Iliyochapishwa

Mpishi raia wa Kenya anayeishi nchini Ujerumani, Carol Waithira Mühlenbrock, ametajwa kama mchezadensi mpishi ambaye anatumia muziki kama njia ya kuwaliwaza watu jwakati wa janga la Covid-19. Ni mkakamavu na watazamaji wake wanasema anawasaidia watu kupata nguvu za kuishi katika janga la virusi vya corona. Carol alilazimika kuwaruhusu wafanyakazi wake waende nyumbani kwao wakati ugonjwa wa janga la Covid-19 lilipoanza na amekua ndiye anayepika mwenyewe...