Virusi vya Corona: Vitu vinne muhimu unavyopaswa kuwa navyo

Maelezo ya video, Vitu vinne unavyohitaji kuwa navyo wakati huu wa corona
Iliyochapishwa

Tazama vitu vinne muihimu unavyopaswa kuwa navyo na kutembea navyo popote unapokwenda wakati huu wa janga la corona. Msimulizi wako ni Fatma Abdalla ...