Virusi vya corona:Rais Magufuli atoa maagizo ndege za kubeba watalii kuingia
Iliyochapishwa
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amesema kuna maombi ya watalii kuingia nchini Tanzania. Ametaka Wizara ya Maliasili na Wizara ya Uchukuzi kuziruhusu ndege hizo kuingia nchini.