Virusi vya corona: Waafrika waelezea madhila yanayowakuta wakati wa karantini China

Maelezo ya video, Virusi vya corona: Waafrika waelezea madhila yanayowakuta China
Iliyochapishwa

Waafrika wanaoishi katika mji wa Guangzhou wameiambia BBC kuwa wamekuwa wakitolewa kwa nguvu kwenye makazi yao na kuwekwa karantini pamoja na vipimo kuonesha kuwa hawana maambukizi ya virusi vya corona.