Virusi vya corona: Je ukivaa barakoa ni muhimu kuzingatia umbali wa mita moja kati yako na

Maelezo ya video, Virusi vya corona: Je ukivaa barakoa ni muhimu kuzingatia umbali wa mita moja kati yako na
Iliyochapishwa

Shirika la Afya Duniani WHO limesisitiza kwamba kunapaswa kuwa na ushahidi kwamba utumizi wa mask au barakoa, pamoja na maelezo mengine unasaidia kupunguza mlipuko huo