Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Virusi vya corona: Fahamu aina za barakoa zinazotoa ulinzi madhubuti dhidi ya maambukizi
Iliyochapishwa
Ingawa Shirika la Afya duniani linashauri matumizi ya barakoa kwa wafanyakazi wa afya, wanaowatunza wagonjwa na walioathirika na virusi, nchi nyingi hivi sasa zimeamua kuwa uvaaji wa barakoa ni amri kwa raia wao,
Pamoja na hayo, wataalamu wanasema kuwa uvaaji wa barakoa hauna maana kuwa utakuficha dhidi ya maambukizi.