Virusi vya corona: Wakenya wabuni mbinu tofauti ya kufanya ibada nyumbani

Maelezo ya video, Virusi vya corona: Wakenya wabuni mbinu tofauti ya kufanya ibada nyumbani
Iliyochapishwa

Ibada ya roshani yaandaliwa nchini Kenya kama njia ya kujilinda na maambukizi ya virusi vya corona.

Ibada hii kwa jina maarufu B2B umewavutia wazazi na watoto kushiriki pamoja huku wakiangazia sheria ya kukaa umbali