Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Virusi vya corona: Wanafunzi Kenya watengeneza vifaa vya kukabiliana na virusi vya corona
Iliyochapishwa
Chuo Kikuu cha Kenya kimejitolea kutengeneza vifaa vya kukabiliana na virus dhidi ya corona. Chuo Kikuu hicho kinatengeneza kila kitu kuanzia barakoa hadi sare za wahudumu wa afya. Na sasa kinafikiria kuanza kutengeneza mashine za kupumua ili kuimarisha uwezo wa kupambana na ugonjwa wa Covid-19.