Virusi vya corona: Jinsi ya kuimarisha afya yako ya akili wakati wa marufuku ya kutotoka nje
Iliyochapishwa
Taarifa za mara kwa mara kuhusu janga la coronavirus linavyowaathiri watu, hasa wale walio na changamoto zingine za kama vile msongo wa mawazo, kuwa na taharuki na kupoteza matumaini maishani. Hivi hapa ni vidokezo tano ya jinsi ya kuimarisha afya yako ya akili
