Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Jaribio la kwanza la chanjo dhidi ya virusi vya corona laanza Ulaya
Iliyochapishwa
Watu zaidi ya 800 wamejitolea kushiriki kwenye utafiti huu wa kisayansi, chanjo hii iwapo itazaa matunda itakuwa suluhisho dhidi ya janga la virusi vya corona duniani.