Kutokaribiana kipindi hiki cha corona ni umbali gani?
Iliyochapishwa
Ni koala 3, au sawa na urefu wa Michael Jordan – ni takriban umbali huo unaohitajika kuwa mbali na mwingine wakati huu wa virusi vya corona.
Fahamu mbinu nyingine zinazoweza kukujuza maana ya umbali wa mita 2.