Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Virusi vya Corona: Jinsi mlipuko wa corona unavyochochea chuki dhidi ya Waislamu India
Iliyochapishwa
Kwa miongo kadhaa, kumekuwa na chuki za kidini baina ya Wahindu na Waislamu nchini India. Hivi karibuni, chuki dhidi ya Waislamu zimeibuka tena kwa kasi nchini humo kutokana na kongamano moja la kidini la Waislamu kulaumiwa kusababisha maambukizi ya watu wengi nchii humo. Lakini taarifa ghushi pia zimechangia chuki hizo, tazama video kwa taarifa zaidi...