Virusi vya corona: Ukipona virusi hivi waweza kuvipata tena?
Iliyochapishwa
Kuambukizwa virusi vya corona haina maana kwamba utaishi navyo milele kwani wataalamu wa Afya wanasema mtu anaweza kupona kabisa lakini asipokuwa makini anaweza kuvipata tena