Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa Tanzania yaongezeka hadi 147

Maelezo ya video, Waziri wa Afya nchini Tanzania Ummi Mwalimu
Iliyochapishwa

Waziri wa Afya Ummi Mwalimu amesema kwamba wagonjwa wote ni raia wa Tanzania.