Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Virusi vya corona: Je wanyama wanaofugwa wana hatari ya kusambaza virusi?
Iliyochapishwa
Wanyama wamekuwa wakitelekezwa Mashariki ya kati kwa hofu kuwa wanaweza kuwa chanzo cha kusambaa kwa virusi vya corona.
Haijabainishwa ikiwa wanyama hao wanaweza kusababisha maambukizi ya virusi vya corona. Shirika la Afya Duniani limetoa wito kwa wafugani wa wanyama wa nyumbani kuzingatia usafi ilikujiepusha na maambukizi.