Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Virusi vya corona: Kwa nini watu hawa wanajitenga kwenye miti
Iliyochapishwa
Maelfu ya watu nchini India wameondoka maeneo ya mijini na kurejea viijini kwa sababu ya amri ya kutotoka nje iliyotangwazwa nchi nzima mwezi machi.
Amri hii ilisababisha taharuki na hasira. Hivi sasa watu wa jamii ziishizo vijijini wanajitenga kwenye nyumba zilizotengenezwa juu ya miti kuepuka kusambaa kwa virusi na kuwaambukiza wengine.