Virusi vya Corona: Ukweli juu ya madai ya kinga ya Vitamini C

Maelezo ya video, Virusi vya Corona: Ukweli juu ya madai ya kinga ya Vitamidi C
Iliyochapishwa

Katika baadhi ya mitandao kuna taarifa kuwa vidonge vya vitamini c vinazuia maambukizi ya virusi vya corona. Je hilo lina ukweli kiasi gani? Fuatilia video hii...