Virusi vya corona: Je miale ya jua inauwa virusi hivi hatari?

Maelezo ya video, Virusi vya corona: Je miale ya jua inauwa virusi hivi hatari?
Iliyochapishwa

Shirika la Afya Duniani WHO linasema kwamba kukaa juani ama katika sehemu zenye joto jingi la zaidi ya nyuzi 25 hakuzuii kupata maambukizi ya virusi vya corona.