Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Wanasayansi wanasema teknolojia ya mawasiliano ya 5G haina uhusiano na virusi vya corona
Iliyochapishwa
Kumekua na madai yaliyoenea kwenye mitandao ya kijamii kwamba telnolojia ya 5G ambayo hutumia mawimbi ya redio kusambaa ina uhusiano na virusi vya corona. Lakini wanasayansi wanasema kuwa wazo la uhusiano kati ya Covid-19 na 5G ni "upuuzi mtupu" na lisilowezekana kibaiolojia.
Nadharia hizi zimetajwa kama "taarifa mbaya zaidi feki" na Mkurugenzi wa tiba katika taasisi ya huduma za afya nchini Uingereza Bwana Stephen Powis na wanasayansi wengine wamedai ni '' upuuzi mtupu''. Mwandishi wa BBC Sammy Awami anaelezea katika video hii ...