Coronavirus: Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson yuko katika chumba cha wagonjwa mahututi.
Iliyochapishwa
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ambaye alipatikana na virusi vya corona wiki iliyopita alihamishwa hadi chumba cha wagonjwa mahututi kulingana na ushauri uliotolewa na timu yake ya madaktari.