Virusi vya corona: Namna ambavyo vijana wanaweza kujizuia na hofu ya corona

Maelezo ya video, Coronavirus: Namna ambavyo vijana wanaweza kujizuia na hofu ya corona
Iliyochapishwa

Mlipuko wa maambukizi ya corona umewafanya watu kujihisi uoga na wasiwasi.

Baadhi ya mambo ambayo ni vyema kuzingatia ili kujizuia kupata uoga zaidi na kupata matatizo la akili.

Maelezo zaidi