Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Coronavirus: Vyoo vilivyofurika, shuka chafu Ndio hali katika katrantini India
India ipo katika kupindi cha karantini kwa muda wa siku 21 kufuatia kasi ongezeko la visa vya coronavirus katika siku za hivi karibuni. Waziri mkuu wan chi hiyo Narendra Modi ametangaza kuwa sola bilioni 2 zitakuwepo ili kuboresha miundombinu ya afya. Wataalamu wanahofia kwamba taifa hilo lenye idadi kubwa zaidi ya watu halitaweza kufanikiwa kudhibiti maambukizi kutokana na uhaba wa miundombinu. Huyu hapa ni mmoja wa watu walio katika kituo cha karantini akielezea jinsi anavyoishi katika mazingira mabaya huku akiendelea kufanyiwa vipimo vya Covid-19.