Coronavirus: Wapenzi waliohairisha harusi yao

Maelezo ya video, Coronavirus: Wapenzi waliohairisha harusi yao
Iliyochapishwa

Zuio la mikusanyiko ya watu yaweza kuwa sababu tosha kwa wapenzi kubadili mipango yao ya harusi kwa sasa.

Hatahivyo Esther Samini na Michael Mugo kutoka nchini Kenya ni miongoni mwa wapenzi wengi duniani waliolazimika kubadili mipango yao ya ndoa bila kujua ni lini wataweza kutimiza kufanikisha siku yao hiyo ya muhimu ya maisha