Coronavirus:Wezi wa barakoa wakamatwa Ukraine

Iliyochapishwa

Hofu ya maambukizi ugonjwa wa corona ikiendelea kote duniani, polisi nchini Ukraine imekamata magenge kadhaa ya wahalifu kwa kuiba barakoa kuliko dawa za kulevya au sigara.