Coronavirus: Mama huyu ametakiwa kurudi nyumbani baada ya kumpoteza mumewe

Iliyochapishwa

Hospitali zimewataka wasio na dalili kali za maambukizi ya virusi kurejea nyumbani ili ziweze kuwahudumia vikongwe.