Coronavirus: Raia wa Italia watiana moyo kwa nyimbo za kizalendo

Maelezo ya video, Coronavirus: Raia wa Italia watiana moyo kwa nyimbo za kizalendo
Iliyochapishwa

Pamoja na Italia kuwa kwenye karantini, raia wa Italia watiana moyo kwa nyimbo za kizalendo wakiwasifu wahudumu wa afya wanaopambana kuokoa maisha ya watu.

Uhispania nayo imeungana nako kusifu jitihada za wataalamu wa afya katika kupambana na virusi vya corona.