Mataifa matano yanavyong'ang'ana kukabiliana na mlipuko wa coronavirus

Maelezo ya video, Jinsi nchi tano zinavyo pambana na Coronavirus
Iliyochapishwa

Kwa sasa kuna maambukizi mapya ya Covid-19 nje ya China kuliko ndani ya mipaka yake, kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani. Hatua zilizochukuliwa kupunguza kuenea coronavirus zinatofautiana kwa viwango kuanzia kiwango kikubwa cha karantini nchini Uchina hadi kufutwa kwa mechi za soka Italia.