Simulizi ya maisha ya malezi ya watoto mapacha wanne
Iliyochapishwa
Mwanamke huyu wa Kenya alijifungua mapacha wanne kwa mkupuo. Mapacha hao wanne wote ni wa kike na wanafanana.
Mama Dirvina Joseph anatushirikisha jinsi anavyowashughulikia watoto wake wanne wenye umri wa miaka 3.